Breaking News
recent

MAKALA FUPI KUHUSU MNYAMA FARU (Kwa njia ya sauti)

Image result for kifaru mikumiFaru ni miongoni mwa wanyama ambao ni Big five kwa Afrika, wengine wakiwa ni chui, simba, mbogo na tembo. Kuna aina tano za faru duniani; faru Javan, faru Indian, faru Sumatran, White faru na Black faru. Faru  Javan na faru Indian hawa ni jamii ya faru ambao wana pembe moja usoni mwao  na Africa tuna aina mbili za faru ambazo ni faru mweupe(White rhino) na faru mwesi(Black rhino), aina tatu zingine zinapatikana bara Asia.  Tanzania sisi tunayo aina moja tu ambayo ni Black rhino, ingawa tuna white rhino ambao wanapatikana Mkomazi National Park ambao ni” introduced spicies” waliochukuliwa kutoka Afrika ya kusini.
bonyeza https://nelsoncharlesmatagi.blogspot.com/2019/05/feature_3.html kupata makala kamili
Powered by Blogger.