PENDO LANGU SEHEMU YA PILI
Ilipoishia…….
Nilitoka nje ili nione nani yule,
endelea...
sikuamini macho
yangu kwani nilichoweza kukiona alikuwa ni yule mwanamke nilie kutana nae nyakati za
usiku, leo hii alikuwa ni watofauti kidogo, mwanamke kwa mbali alikuwa anavutia
na anashawishi kimaumbile pia ki sura lakini tukiachana na hayo yote swali
lilikuja kubwa kichwani kwangu “ dukani kwangu kapajuaje? Nilifikili kidogo
nikawaza na kuwazua sikupata jibu, nikatoka nje ya duka langu ndipo yule mama
aliponiona na kuvuta hatua kusogea pale nilipo kuwa nimesimama.
“Ooh
my clintoni ni wewe?
“Ndio
ni mimi (nilizuga kidogo kuwa simjui)
“Samahan
kwani we nani?
“(aliguna
nakusema)”
“Mie
ni miss glory ukipenda unaweza kuniita glory tu sio lazima iwe miss.”
“Ondoa
shaka kuhusu hilo miss glory”
Kwa
kumwagalia ni kweli alikuwa miss na anafaa kuitwa miss hiyo haikuwa na shaka
kwangu, kidogo glory akaniuliza
Vipi
mbona hunitafuti mwenzako wakati namba yangu unayo.
Niliona
kama msala ivyi kukutana nae pale nje nikaguna
Hhm
(nakukaza sauti kasha nkasema)
“miss
sorry kwa hilo.. na majukumu mengi sana mpaka na sahau hadi watu wa muhimu kama
wewe”
Alitabasamu
aliposikia neno “mtu muhimu kama wewe” akaangalia chini na kusema kwaa aibu
kidogo.
“Jamani
nashkuru sana ngoja mi niwahi kazini mara moja ntapita tena siku nyingine
kuuona”
Nilijua
ataondoka alizama ndani ya gari nakutoa burungutu la fedha hhm sikufichi moyo
ulikimbia mithili ya mbwa mwitu kaona chakula kinapita huku akiwa na njaa kali.
Nilitulia kidogo, miss glory akanishikisha ile pesa nakusema huu ni kama mwanzo
wa mimi na wewe kukutana, nilijifanya kama nagoma goma
lakini ndo hivyo tena nilikubali nikapokea ile pesa
Nikamuuliza
“Kwa
pesa yote hii ntakulipa nini kama ndo mwanzo wa kukutana?”
“usiwaza
Clinton malipo sio shida kwangu na wala usinilipe pokea ntakachokupa”
Alichelewa
kalibia nusu saa tu kwa maongezi yangu aliniaga tena kwa mala nyingine kuwa
anawahi kazini na kusema nimtafte kwenye namba yake ili tuongee vizuri.
Nilikubali tu lakini nliuwa na shahuku kubwa juu ya ii pesa alionipa kichwani
nikiwaza je nitaifanyia nini? Nililudi taratibu dukani kwangu nakuendelea na
kazi kama kawaida ya kuhudumia wateja, ulipofika mda wa jioni kama saa 07:30
nilifunga duka na kuwahi nyumbani.
Niliandaa
bonge la surprise hahaha kwa watanzania tunaita (mshangao) kwaaajiri ya mary as
my future wife to be nilipofika nyumbani hata kabla sijaingia ndani msala wa
pale ukaanza tena kama kawaida.
“mbona
hupendi kunisikiliza clinton mwenzio nakupenda” (Ester aliongea akiwa amebeba
ndoo mkononi na kanga yake kiunoni) nikashangaa na nikamuuliza
“Unanipenda?”
“Ndiyo
nakupenda” (Ester alijibu bila kusita na kwakujiamini)
Sikujali
kujiamini kwake nikanyoosha maelezo yaliyokuwa mafupi na yanayoeleweka “Upo
tayari kupokea jibu litokalo mdomoni mwangu kuwa sihitaji kuwa na wewe “
Gafla
niliposema hivyo Ester alibadilika akiniangalia kwanzia juu mpaka chini
nakusema na kuachia kamsonyo kambaaaliiii na kusema
“Clintoni
hunitaki eeeh sa subili vitu unavyofanya na unamficha mary kila siku vyote
ntamwambia”
Daah!
Sikuamini eti alivyosema nkajikuta nakasilika na kusema kwa kufoka “we mwanamke
vipi unataka nini kwangu”. (bila aibu akajibu)
Nataka
penzi lako clintoni huwezi nitesa kiasi hicho nakupenda niko ladhi uachane na
huyo mary.
Unataka
nini? jaman Ester huoni unavuka mipaka?(ilinibidi niwe tu mpole maana mambo ya
Mery kuingizwa kwenye hili yaliushtua sana moyo wangu)
Mipaka
gani Clinton nakuhitaji siwezi kukupote kilahisi tu. Ukiendelea kunikwepa mi
ntatoboa yako yote kwa mary.
Niliogopa
sana kusikia hivyo mary nampenda sana sikoladhi nimpotezee kwa kuwa Ester
alikuwa anataka kitu kidogo kama hicho na nikakumbuka wahenga walisema Funika
kombe mwanaharamu apite basi nilimvuta nakumshika kiuno kitu kilichofanya miili
yetu isogeleane sana na lipsi zetu kugusana basi akukua na lingine zaidi
nakumbuka kuwa ndimi zetu ziligusana na kuchefanya tukio ilo lilitosha kumuua
Ester kwani mtoto alilegea sana na nilitumia mikono yangu mirefu na imarakumpapasa
kila kila kona ya mwili wake na kwa jinsi alivyokuwa mwepesi nilishangaa
akinilukia kiunoni nikaona nisibaki nyuma name nikamshika kiuno tukachapana
mabusu mpaka basi pale mlangoni hata bila kuingia ndani kiukweli Ester
alinishangaza sana alikuwa mlaini sana mithili ya parachichi lililolojoka kwa
kuiva sana na kwa kuwa nilikuwa nimechoka mtoto hakuniachia tulizama mpaka
ndani aiseeeee, nilikabwa nikakabika nilimtupa kitandani nakuvua shati langu
pamoja na suruali, kwake haikuwa kazi
alitoa tu khanga na kale kavazi kadogo kabisa kandani na kwakua nilikuwa
najiamini sana Mungu alinibariki sio kwa muonekano tu bali pia hata kimaumbile
pia hakika mtoto alilainika kitandani akiwa amelala kifo cha mende akiniita na
mimi sikuona nomaa nilimlukia kwa juu alikuwa na yeye teali kupokea kile
nlichomletea juu yake miguu yake ivyo niliingiza tu mashine yangu nakuanza kumpa
kile alichokuwa akikitaka..
Alipiga
kelele za kimahaba Ester huku akitapatapa kitandani kwa staili nilizomweka za
komesha nilimshughulikia mpaka vilivyo mpaka akaomba poo. Niliutumia usiku huo
wote maungoni mwake mpaka kuna kucha na kujikuta tupo hoi bin taaban.
Asubuhi
kulipokucha niliamka niakoga nakufanya mambo yangu nakuelekea dukani nikiwa
nimemwacha Ester amelala roho ilisita kumwacha kwangu tena chumbani nikamwamsha
aende akalale kwake,
Aliamka
kizembe na kwenda kwake kulala huku akiniangalia kimahaba alinibusu shavuni
nakuondoka,
Niliondoa
zile za shuka na kuziloweka kwenye maji nakuondoka kwenda dukani siku hiyo
haikuwa nzuri sana kwangu kwani nilifahamu wazi kuwa nimefanya kitendo kibaya
na nafsi yangu ilinilaumu sana na nikiwa njiani nlikutana tena na mary
tulisalimiana vizuri na Mary alitaka maongezi na mimi niliairisha kwenda dukani
nakumsikiliza.
“Baby
I got surprise for you fumba macho”
“Surprise
gani hiyo tena?”
“fumba
macho bwana then utaona ni ipi”
Nikiwa nimejaa na shauku ya kujua ni
surprise gani Mary anataka kunifanyia….........
Usikose
sehemu ya tatu ya simulizi hii hapa hapa ze potential info
Nelsoncharlesmatagi.blogspot.com
ITAENDELEA…………………………….
No comments:
Post a Comment