FIKRA SAHIHI NI MUHIMU SANA HASA WAKATI WA KUFANYA MAAMUZI YA MAISHA YAKO
Ukianza
kumtafuta mtu ambae ana fwatilia maisha yako, utajikuta una poteza muda mwingi sana.
Mchawi
siku zote atafutwi kwa matangazo ana tafutwa kwa maombi,
Hivyo
wewe fanya yale unayopaswa kuya fanya bila kujali mtu.
Mwisho
wabaya wako wata jitokeza wenyewe,
Kama
ilivyo kumtafuta mchawi dawa ni kufanya maombi tu mchawi ata jisalimisha
mwenyewe.
Kinacho
sababisha watu wengi wa shindwe kufikia malengo yao,
waliyo
jiwekea ni kutaka kujuwa kila mtu ana wa chukuliaje ama ana watazamaje.
Huwezi
ukafanya kitu ama uka fanikiwa kama utataka kufahamu kika mtu anavyo kuwaza na
kukuhisi.
Taarifa
unazo zikusanya katika ubongo wako ndizo zita kazo amuwa hatima ya maisha yako.
Huwezi
kuwa tofauti na vile unavyojiona na
kuwaza, hivyo
Kula
bila kufata utaratibu usitegemee kuwa uta kuwa kawaida mwisho utaumuka na uta
kuwa mapande sita.
Ndivyo
ulivyo na ubongo una fanya kazi kutokana na taarifa unazo zipokea,
Chochote
unacho kiona kina fanyika tambua tayari kilisha pitia katika ubongo.
Hivyo
ni vema ukatambua kuwa maisha yako yata kuwa kama vile unavyo yawaza,
Yata
kuwa kutokana na kile uta kacho kijaza katika ubongo wako.
Fikra
sahihi ni muhimu sana hasa wakati wa kufanya maamuzi ya maisha yako,
Bila
kuwa na fikra sahihi huwezi kuwa na maamuzi sahihi.
Maandalizi
ya maamuzi yako yana anzia kichwani kisha kuja katika maneno au matendo,
Kuwa
na fikra sahihi ni muhimu sana ili kuwa na maamuzi sahihi,
Tafakari
kabla ya kuchukuwa hatua hili neno ni muhimu sana.
Ila
kwa mtu usiye na fikra sahihi ata ona kama msemo wa kawa ida sana kwake,
Na
ili kuhakikisha una kuwa na fikra sahihi lazima ujifunze kwa watu ambao ni
sahihi.
Soma
vitabu, makala, sikiliza wa hamasishaji mbali mbali.
Tabia
yako ita jengwa na mawazo unayo yawaza nasi vinginevyo.
Imeandaliwa
na Pascal Mtani
2 comments:
Barikiwa
karibu
Post a Comment