Tangazo
Habari
ndugu msomaji na mfatiliaji wa strori na mambo mbalimbali ambayo tumeendelea kuyaposti na kuyasoma kwenye
ukurasa huu, ni matumaini yangu wote ni wazima tunapenda kuwa karibisha kwa
wale wanaoweza kuandika na kutunga stori mbalimbali na mambo kama hayo waweze kuwasiliana
nasi ilituweke utaratibu mzuri kwaajiri ya kuwapa nafasi kufikisha mawazo yao
Pia ni
ruhusa kuchangia katika mada yoyote inayokuwa imepostiwa katika kurasa hii bila
kusahau kushare ili kuweza kuwafikiwa watu wengi zaidi
Tunapatikana:
Facebook: kama kai pontential
Blog : nelsoncharlesmatagi.blogspot.com
No comments:
Post a Comment