NJIA ZA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI JUU YA MAFANIKIO YAKO
Picha na Denis M Nguno. |
ukombozi wako kijana na mtanzania mwenzangu upo mikononi mwako jinsi unavyopambana na kusimamia kweli yako basi amini mafanikio yako mlangoni kwako.
Dondoo za mafanikio na Morice Mapundi:
Dondoo za mafanikio na Morice Mapundi:
- Fanya maandalizi sawa na umbali unaotaka kwenda
- Fanya maamuzi sahihi yatakayokupa nafasi ya kufika salama unakokwenda
- Kula chakula kitakachokupa nguvu ya kufika mwisho salama
- Zitunze hatua zako na ujizuie kutazama mwisho wako
- Usiwafuatishe wengine maana hamuendi umbali sawa
- Anza kila jambo na Mungu na umalize kila jambo na Mungu
- Futa historia yako ya kwanza na usiruhusu ikutese na kuzifunza atua zako
No comments:
Post a Comment