Breaking News
recent

MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI


Image result for love condition

Na Charles N Matagi
Mapenzi ni nini? Kwasisi tunasema mapenzi ni hisia zenye msisimko wa pendo la dhati na ili mapenzi yawe mapenzi ni muhimu na lazma wawili hao wazihisi hisia hizo zenye msisimko huo wa pendo la dhati na mapenzi hutokea pale tu watu wawili wanapozihisi na kuzisikiliza hisia hizo. Nakwamila na desturi zetu sisi watanzania basi ukiongelea mapenzi pasina shaka umeongelea ule uhusiano unaotokea kati ya jinsia me na jinsia ke.kunamabo mengi ya kuzingatia katika kudumisha na kuimalisha mahusiano ya kimapenzi ila haya ni machache kati ya hayo mengi.
    Image result for love condition
  •   Ukweli na Uwazi,kwa kua mkweli kwenye mahusiano kutakufanya uwe huru na kutakusaidia kuishi maisha yako alisi na sio maisha ya kuigiza ambayo husababisha mahusiano mengi kuvunjiaka na kusambalatika, na katika hali hiyohiyo pia ni muhimu na lazma uwe mtu muwazi kwa mwenzi wako katika masuala yote ya kimapenzi na kimaisha kwani kuna baadhi ya watu wapo kwenye mahusiano wakikomaa kuongea ukweli na kusahau kua wawazi yaani kusimamia kile wanachoamini na ukweli wao kwa mfano mtu apendi uchelewe kuludi anakwambia ukwel kua sipendi unavyochelewa kuludi ila anashindwa kua muwazi pale anapozificha hisia zake za kununa au kulia inapobidi.
  •   Msamaha,kama tunakubariana kuwa amna alie kamilika katika dunia hii ya mungu basi atunabudi kukubariana na ukweli kuwa pasina na msamaha akuna maisha hususani katika masuala ya kimapenzi kila mtu amekulia katika mazingira yake mnakutana na kuanza mahusiano kwahiyo iko wazi kuwa kukoseana kupo ili kila mmoja ajue tabia na hulka za mwenza wake, ilikujenga na kuimarisha huusiano au mapenzi yako ni lazima neno msamaha na samahani yawe ni miongoni mwa maneno unayoyatumia kwani kwa kukosea ndio unapata nafasi nzuri ya kujifunza na kuimarisha penzi.
  • Hakikisha mwenza wako anapata nafasi ya kutosha kukufahamu vizuri, kwahakika mahusiano ya mapenzi yanahitaji huangalifu wa juu katika suala zima la kuchagua wa kuishi nae kwani maisha ya mahusiano ndio hayo yanayo tengeneza kesho yako wewe na familia yako kwa ujumla hivyo unapaswakua makini na kumtambua yule unaetaka awa mwandani wako.ili utengeneze mahusiano imara na umpendae nilazma ajue na akujue kuanzia tamu mpaka chungu yako yaani maamuzi yako ukiwa unafuraha, ukiwa kawaida na ataukichukia ilo litampa nafasi nzuri yeye kuweza kuishi mapenzi yenu.
  • Hakikisha unamuheshimu mpenzi wako na unayaheshimu mahusiano yako, wapo baadhi ya watu wanajitahidi kuheshimu wapenzi wao na kupuuza kuusu kuheshimu mahusiano yao. Unakuta mtu anamuheshimu mpenzi wake ila anapokua nawenzie hampiheshima mpenzi wake na kubaki kumsema mabaya tu hali ambayo inawafanya watu wa nnje kuona mahusiano yenu ni ovyo, ili uweze kua na mahusiano thabiti na imara ni lazima uwe tayari kutunza heshima ya mwenza wako na heshima ya penzi lenu hii itakusaidia kuwaeka mbale wale wasiopenda penzi lenu na kuwafanya na wannje pia kuheshimu mahusiano yenu.
  •   Kubari kujishusha, ndoa nyingi na mahusiano mengi yanavunjika kwa sababu tu wawili hao wameshindwa kujishusha na kusuluhisha baadhi ya mambo yanayo wakumba kwenye mahusiano yao. Ila ukwel ni kwamba kujishusha ni suala ambalo linaweza na linatunza na kufanya mahusiano mengi kudumu na kama upo kwenye mahusiano na ukawa ni mtu kujishusha basi hakika utakua mtu wa kukumbukwa na mwanaume au mwanamke kama atatokea kukuacha basi atokusahau.kwani wapenzi wa kizazi hiki wengi kila mtu anajiona yuko juu ya mwenzie hali hinayosababisa maanguko ya mahusiano mengi na maumivu kwa wapenzi hao.kama unapenda mahusiano yako basi kujishusha na kutafuta suluhu njema ni chaguo zuri la kulinda mahusiano yako.
  •    Nakupenda,nnekukumbuka,pole,ongera,karibu,siku njema,kuwa makini na ujirinde, haya ni maneno ambayo yanatutoka wengi tukiwa kwenye mahusiano licha ya kuwa baadhi yetu atujui nguvu ya maneno haya na tunayatumia kimazoea kama sio kutimiza wajibu. Hunapo mwambia mpenzi wako unampenda unakua unamfanya hawe na uhakika kuwa ni kweli anapendwa hali inayo mfanya ajiamini na kupata amani ya roho na moyo na unapo mwambia pole,nmekukumbuka na ongera maneno haya yote yanamfanya mpenzi wako kujiaminisha na kuamini kuwa yeye ni muhimu kwako na mtu wa thamani katika maisha yako ivyo inamfanye aitaji zaidi kua karibu yako mala kwa mala hali hiyo itafanya penzi lenu kuzidi kuwa na nguvu,neno kama sikunjema na kuwa makini na ujirinde maneno haya yanampanguvu yakufanya kazi anayotakiwa kufanya ukuhakihakikisha anafika nyumbani salama kukufanya ufurahie kuwa amerudi salama.hayo mambo yote yanafanya uwe na mahusiano imara na thabiti.

No comments:

Powered by Blogger.