Tangazo muhimu
Habari
ndugu msomaji na mfatiliaji wa strori na mambo mbalimbali ambayo tumeendelea kuyaposti na kuyasoma kwenye
ukurasa huu, ni matumaini yangu wote ni wazima tunapenda kuwa karibisha kwa
wale wanaoweza kuandika na kutunga stori mbalimbali na mambo kama hayo waweze kuwasiliana
nasi ilituweke utaratibu mzuri kwaajili ya kuwapa nafasi kufikisha mawazo yenu
Pia ni
ruhusa kuchangia katika mada yoyote inayokuwa imepostiwa katika kurasa hii bila
kusahau kufollow na kushare stori ili kuweza kuwafikiwa watu wengi zaidi
Tunapatikana:
Facebook: kama kai pontential
Blog : nelsoncharlesmatagi.blogspot.com
E-mail : nelsoncharlesmatagi@gmail.com
Tel No : 0656109278
0744329179
No comments:
Post a Comment