ACTION + VISION = SUCCESS
Habari yako Mwanamaarifa Leo nimeona nikuletee jambo hili
ambalo Lita chagiza na kukufanya ufikie kwenye mafanikio yako,
Unaanguka,
Unachubuka,
Na kupata hasira kubwa juu ya maisha. majanga juu ya majanga
yanakukuta.
Nakusii kukata tamaa na kusema bora nife, ni
kiwango kidogo mno cha kufikiri
Ambapo
Mdudu aitwaye Mende hana hiyo tabia anajua kabisa kuinuka
kwake haiwezekani. lakini hachoki kuitupa au kuirusha miguu yake kutetea uhai
wake. Iweje wewe una uhai unafikiria huna thamani tena??
Wewe nimtu wa maana sana isichoke usikatee tamaa bado
unajambo unatakiwa kulifanya hapa duniani.Leo na kuna watu wanakusubiri wewe.
Usikate tamaa
Action + Vision=success
Imeandaliwa
na Pascal Mtani
No comments:
Post a Comment