MAKALA IJAYO (mjue mnyama Fisi na tabia zake)
Kama
ijulikanavyo kwamba fisi hatulii sehemu moja mpaka awe amezeeka au anaumwa basi
ni hivyo hivyo wakati wakujamiiana, wanyama hawa hutumia mda mchache sana
katika tendo hilo kwani mpaka fisi dume amalize kumpanda fisi jike ni dakika
tano tu. Fisi huanzisha uhusiano na fisi mwingine kutoka kwenye koo tofauti na
yake na huanzisha familia na hiyo utokea ni baada ya mahusiano ya siku kadhaa.
No comments:
Post a Comment